
Fortæl dine venner om denne vare:
Mapinduko YA Misingi
Sonny Shabani
Bestilles fra fjernlager
Mapinduko YA Misingi
Sonny Shabani
Kanisa la sasa: Kwa nini haya mapinduko makubwa ? Kisha kumpokea Yesu Kristu wa Nazarethi katika maisha kama Bwana na Mwokozi mtu anakuwa kiumbe kipia. Na maoni makubwa ya vitu vya dunia hiyi yanabadirika kwa sababu shabaha si ya kupata ulimwengu kwa kujipigapiga juu ya kukusanya kwa kila hali utajiri wa vitu hao vifaha lakini shabaha yake ni yakutafuta sasa jinsi atapata mwisho wa maisha yake ufalme wa Mungu. Shetani naujanja wake wa mbinu mbalimbali aliweza kujiingiza katika taifa la Mungu kusudi apindue misingi ya neno la Mungu ili watu wengi kisha kuanguka kwao wasishugulikie tena uzima wa milele. Ijapo Yesu Kristo alihaidi kila mjo wao kwenda kukamata na fasi pale mbinguni. ... Yoana 14: 3 na tena ... Yeremia 5: 30 - 31 .
Medie | Bøger Paperback Bog (Bog med blødt omslag og limet ryg) |
Udgivet | 1. marts 2017 |
ISBN13 | 9781365791857 |
Forlag | Lulu.com |
Antal sider | 110 |
Mål | 152 × 229 × 7 mm · 172 g |
Sprog | Swahili |
Se alt med Sonny Shabani ( f.eks. Paperback Bog )